03 August, 2015

Irene uwoya ashinda Kura za maoni kwa zaidi ya asilimia 90

Msanii wa filamu, Irene uwoya amepita kwenye kura za maoni kwa kishindo, amepita kwa zaidi ya asilimia 90 ya kura zote za maoni za kugombea ubunge wa viti maalumu mkoa wa Tabora .

Huyu anakuwa msanii mwingine aliyepata nafasi ya kupita kwenye kura za maoni baada ya Keisha. Endelea kutembelea TeamTz.com kwa habari  zaidi.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...