Wayne Rooney ni mchezaji wa
Manchester United mwenye heshima kubwa kwenye klabu yake, taifa lake na
dunia kwa ujumla kutokana na uwezo wake mkubwa awapo uwanjani.
Leo nimekuwekea picha kadhaa za
Rooney wakati akiwa mdogo, kumbe huyu jamaa na yeye ni kama wachezaji
wengine wenye majina makubwa duniani, alianza kucheza mpira akiwa na
umri mdogo sana na kitu cha kufurahisha ni kwamba wadogozake pia
walikuwa wanacheza mpira japo hawakufanikiwa kuvuma duniani kama yeye.
No comments:
Post a Comment