01 August, 2015

Linah ‘No Stress’ (Video)

linahMawa dada LINAH SANGA leo hii katuletea Kideo chake kipya  ‘No Stress’ Alichokifanya na Godfather ndani ya South Africa na hii itakuwa ni video ya pili ya Linah kutengenezwa chini ya usimamizi wa Godfather, Ole Themba ilikuwa ni video ya kwanza ya Linah kusimamiwa na Director huyo mwenye heshima kubwa kwenye kazi yake Africa.LINAH BABEchkua time yako murua kukitazama Kideo hicho cha ‘No Stress’ kutoka kwa ndege MNANA LINAH. Bonyeza PLAY kukitazama

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...