Kanye ni mvaaji mzuri wa distressed jeans
na sio distressed jeans tu hata t shirt zake huwa zina matb ya risasi
au zimechanwa basi kaazii mradi tu awe tofauti.
Kama huu mshati umechanwa mikononi na kukunjwa but ni swaggger,Hizi sneakers ni yeye kadesign akishirikiana na Adidas zaitwa yeezy boost
No comments:
Post a Comment