Fid q amedai kuwa muitikio wa wasanii wa HipHop huwa ni mdogo kwenye mashindano mengi ya kusaka vipaji kwasababu mara nyingi huwa hawashindi.
Wakati anaongea na kipindi cha ‘XXL’ cha CloudsFm Fid Q ameongeza kuwa imefika muda waandaaji wa mashindano hayo kuanza kuwapa kipaombele wasanii wa HipHop kwasababu sio kwamba hawapo wapo na wanaviaji vikubwa .
No comments:
Post a Comment