18 August, 2015

Meninah afunga ndoa kimya kimya, kaka yake athibitisha.

Weekend hii imefahamika kuwa msanii wa bongo fleva Menina ladiva amefunga ndoa kimya kimya. Baadhi ya picha alizoshare na mashabiki wake zilisambaza stori hii mpaka kaka yake ‘Atick’ alipothibitisha kuwa ni kweli dada yake kaolewa na taarifa zingine zitakuja baadae.
Hongera kwa Meninah.
maninah 7 meninah 4 Meninah Meninah-2 Meninah-3

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...