Je, lini simu hizi zinaingia sokoni ? iphone 6 na iphone 6 plus zinaingia sokoti tarehe 19 mwezi huu ambapo zitauzwa kwenye nchi 10 ambazo ni US, Australia, Canada, France, Germany, Hong Kong, Japan, Puerto Rico, Singapore na UK. Je, vipi kuhusu kukaa na chaji ? ukubwa wa simu hizi umechangiwa na kuongezeka kwa ukubwa wa betri ambapo kwa iphone 6 inaweza kukaa hadi masaa 11 ukiitumia muda wote ambapo iphone 6 plus inakaa hadi masaa 12.
Vipi , je Apple wamezindua kitu kingine ? Yes , ukiachana na iphone 6 na iphone 6 plus , Apple wamezindua kwa mara ya kwanza Apple Watches , saa za mkononi za Apple tunazoziita smartwatches ambapo itasaidia mawasiliano ya haraka kwa kutumia saa na pia kutumia Apps nyingine kirahisi kama maps na siri. Pia Apple Watch inaweza ikatumika kama kifaa cha mazoezi ambapo inaweza ku-track mazoezi yako.
Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,
No comments:
Post a Comment