Kwenye interview tofauti walizofanyiwa watu
hawa maarufu wa muziki wa bongo fleva wote wamekiri kuwa hawana tatizo
kati yao yani kwa maneno mengine hawana BEEF.
Hii ni tofauti na inavyochukuliwa na mashabiki zao ambao wamefikia
kiwango cha kufanya kampeni ya kushusha wasanii hawa ilitu
kuwashindanisha.Ali kiba akiwa kwenye kituo cha Citizen alisema ” Mimi na Diamond hatujawahi kukutana sehemu tukagombana ”
Kiba aliendelea kusema “Hapendi kufananishwa na Diamond sababu kila mtu ana muziki na talent yake“
Kwenye Interview na Xxl wiki hii Diamond amedai kwamba ajawahi kuwa na beef nae hata siku moja… na kuhusu Team za Mitandaoni Diamond amesema “Sioni kama kuna ubaya wowote, kila mtu ana maamuzi kumchagua mtu anayemtaka yeye kumshabikia, huwezi kumlazimisha mtu”
Wawachukue msanii fulani na msanii fulani wawashindanishe na wasanii wa nje, ukiwashindanisha wasanii wa Tanzania haiwezi kusaidia Industry yetu.
Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,
No comments:
Post a Comment