27 July, 2015

WEMA AMJIBU DAIMOND


Wema Sepetu baada ya kushindwa kura za maoni na kuambulia kura 90 dhidi ya wapinzani wake .Jana mapema Wema Sepetu aliwasili kutokea Dodoma na kupokelewa na umati mkubwa watu na msafara hadi nyumbi kwoa Sizna .Baada ya kufika aliweza kutoa shukrani zake na maneno yake ya hekima, .Kilichokuja kuibuka ni kwamba ilikuwa kama anarusha dongo kwa timu pinzani yani Team Zari na Team Daimond.

WEMA_SEPETU2015
”Wanasema watanyoka watanyooka wao, sasa naomba niulize tumewanyoosha au mwanetunyoosha ? ”.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...