Mahali pekee utakapopata habari za Burudani,Michezo,Urembo udaku na Kuelimika
26 July, 2015
TAZAMA VIDEO HII YA RAIS OBAMA AKICHEZA NA SAUTI SOUL 'SURA YAKO.
Sauti Sol ni kundi maarufu la muziki kutokea nchini Kenya ambalo
limefanikiwa kuvuka hata mipaka na kuteka kwenye nchi jirani kama
Tanzania, Rwanda, Burundi na nchi nyingine za Afrika mpaka kupelekea
kuwa nominated kwenye tuzo kubwa kama za MTV na BET 2015.
Kundi hili lilipata mwaliko maalum wa kwenda kuimba Ikulu ya Kenya
kwenye party ya kumkaribisha Rais Barack Obama wa Marekani ambaye baba
yake mzazi ni mzaliwa wa Kenya.
Tazama kwenye hii video fupi hapa chini jinsi Sauti Sol walivyokuwa
wakiperfom na baadae Rais Obama na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kuungana
nao kucheza.
No comments:
Post a Comment