25 July, 2015

PHARRELL WILLIAMS – FREEDOM (OFFICIAL VIDEO)

FREEDOMMwimbaji wa muziki nchini marekani ambaye pia ni rapper na mwandishi mzuri wa mashairi ya muziki nchini humo, Pharrell Williams ameachia video yake mpya ya wimbo unaoitwa ‘Freedom’ Directed by Paul Hunter. Chukua time hii kuitazama video hapa ukimaliza tunakuomba usibanduke kwenye tovuti yetu kwani bado tunaendelea kukujuza zaidi.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...