25 July, 2015

KWA MARA YA KWANZA TONI BRAXTON & BABYFACE KUFANYA TOUR AFRICA


TONI & BABAY
R&B superstars Toni Braxton and Kenny “Babyface” Edmonds kutoka marekani wanategemea kuperform ngoma zao kwa mara ya kwanza South Africa na Zimbabwe katikati ya tarehe 28, Agust 2015 – tarehe 3, September 2015, mashabiki watakiwa kukaa mkao wa kula na kuzisubiria siku hizo kwani, 28 August 2015 – watakuwa Harare, Zimbabwe – Borrowdale Racecourse, 30 August 2015 – watakuwa  Durban – Moses Mabhida Stadium, 1 September 2015 – watakuwa Cape Town – Grand Arena, Grandwest, 3 September 2015 – watakuwa Johannesburg.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...