Msanii wa bongo fleva maarufu kwa jina la Pam D ,amefafanua kuhusiana na changamoto wanazokutana nazo watoto wakike katika game la muziki.
“Ukijitambu na kujielewa unataka nini katika maisha yako , basi changamoto ndogo ndogo hazitakupa shida, coz kuna changamoto kubwa iliyo kuwepo katika game kwa wasichana ni kutakwa kimapenzi na ma producer ila ukikubali kujirahisisha ndio itakufanya ushindwe kufikia malengo ya kufanya muziki” alisema
”Ma-produecr wengi wanachangi wasichana kutofikia malengo yao hususani katika muziki kwa kuhofia kutongozwa n.k ”.Pam D
No comments:
Post a Comment