08 July, 2015

DIAMOND NA PRODUCER MANECKY WAMALIZA TOFAUTI ZAO

diamond p 
Producer Manecky na msanii wa Bongo Fleva waliowahi kuropotiwa kuwa na tofauti baada ya Diamond Platnumz kuacha kurekodi kwenye studio za Am Reocrds na Producer Maneck alipoanza kuvujisha nyimbo zake wamemaliza tofauti zao.


Manecky aliweka picha yao wakiwa pamoja kwenye studio yake ya Am na ujumbe wa kusamehana, kwa mujibu wa post yake imeonekana ni meneja wa Diamond Platnumz ndiye alimaliza matatizo yao. Hii ndio post yake “Kwa Mara nyingine Tena”In life tujifunze kusamehe na kusahau hakuna ajuae Kesho#aboutLast9te#Ramadankareem #AmRecordsHoMeGoodMusicUNAJUA VILE TUNAFANYAGA WHEN MOND meets NeCk..I missed workin with him Sasaaa Basii… @babutale ubarikiwe Boss ”

Screenshot_2015-07-08-10-32-26Screenshot_2015-07-08-10-32-58
Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...