09 July, 2015

Magari 10 ya gharama ya mastaa wa soka Ulaya 2015

kitu
Moja ya starehe za mastaa wengi wa soka duniani ni pamoja na kutembela magari ya kifahari..ukiachilia utajiri wa magari ya kifahari anayomiliki bondia mwenye utajiri mkubwa Floyd Mayweather..wapo mastaa wa soka ambao nao wameingia kwenye list ya kutembelea magari ya kifahari zaidi.
Hawa ni mastaa 10 wa soka Ulaya ambao mbali ya kuingiza mkwanja mrefu kupitia kazi yao ya soka pia wanatembelea magari ya kifahari….
ron cars
Gari aina ya Buggati Veyron anayomiliki staa wa soka duniani Christiano Ronaldo..gharama yake ni dola 1,7000,000
dinho car
Ronaldinho anamiliki gari aina ya Buggati Veyron yenye thamani ya dola 1,800,000
etoo car
Eto’o ni mpenzi wa magari na amekua akimiliki magari mengi ya kifahari.. naye pia ni mmoja wa mastaa wanaomiliki gari aina ya Buggati Veyron
zlatan car
Zlatan Ibrahimovic anamiliki gari aina ya Porsche ambayo ina thamani ya €768,000
neymar aud
Neymar Dos Santos ndiye mchezaji ghali zaidi Brazil: anamiliki gari aina ya Audi R8 GT lenye thamani ya paundi 246,000
ozil car
Mesut Özil anamiliki gari aina ya Ferrari 458 yenye thamani ya paundi 169,000
lampard car
Frank Lampard anamiliki Ferrari Scaglietti 612 yenye thamani ya paundi 200,000
lake roon
Wayne Rooney anamiliki Aston Martin Vanquish S, thamani yake ni 150,000
mesii audi
Lionel Messi anamiliki Audi R8 Spyder lenye thamani ya paundi 102,385
bale audi car
Gareth Bale anamiliki Audi R8 GT, thamani yake ni paundi 246,000

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...