Mbunifu
wa mavazi nchini, Sheria Ngowi amesema mafanikio aliyoyapata yametokana
baba yake mzazi aliyemuunga mkono kwenye kila japo analolifanya.
“Baba yangu alikuwa ananipa uhuru wa kufanya kila kitu nilichokuwa nataka kufanya,” Ngowi ameuambia mtandao wa Dar City Center.
“Hata nilipotaka kuwa mbunifu wa mavazi alinipa support, pesa ya kusokota dreads na kutoboa masikio alinipa yeye.”

No comments:
Post a Comment