28 July, 2015

Ma-star kwenye Series ya Empire “Grace Gealey na Trai Byers”wamevalishana pete.


Ma star ambao wametamba katika series iliyotamba ulimwenguni ya Series ya Empire ambapo mwanzo walikuwa wakiyaficha mahusiano yao lakini kwa sasa imekuwa si siari tena kwani wameamua kuweka wazi na kuvishana pete.
grace-gealy-trai-byers-engaged-ftr
Trai mwenye umri wa miaka 31 aliamua kufanya engagement katika sherehe ya Grace ya siku ya kuzaliwa iliyofanyika katika mji wa Chicago ambapo Grace alifanyiwa suprise na jamaa na kuanza kumuuliza maswali kama yupo tayari.Kutokana na the source “New York report”ime ripoti kuwa Trai ali-share picha ya wawili hao ikionyesha baadhi ya watu,chakula pamoja na pete.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...