28 July, 2015

Chukua dakika kadhaa kutazama watoto chini ya miaka 7 wenye vipaji kupitiliza na kuingia katika record ya dunia

is

Katika familia za ki Africa hua tunaamini mtoto anatakiwa kufanya kile anacho amrishwa na mzazi wake mwisho wa siku mtoto mtoto anakuja kyfanya kitu ambacho hakipendi.Sasa kwa wenzetu wamekuwa waki-support watoto wao na kuhakikisha wanasimama kwa vipaji vyao.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...