uhamisho ya Pound Milioni 12.5, mchezaji huyo amesaini mkataba wa miaka 5.
“Nina furaha kutimiza ndoto yangu ya kuja hapa Anfield kuitumikia klabu kubwa kama hii,” Clyne amenukuliwa na mtandao wa Liverpool.
“Baada ya Liverpool kuonesha kunihitaji, nilifurahia na nikapenda uhamisho huo ukamilike haraka.“>>> Clyne.
Clyne ni staa wa soka ambaye alikuwa amebakiza mwaka mmoja tu kwenye Mkataba wake kuendelea kuichezea Klabu ya Southampton, sasa anakuwa mchezaji wa sita kusajiliwa na Liverpool.
Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,
No comments:
Post a Comment