Kendrick Lamar ni msanii wa HipHop ambaye anatamba na album yake mpya iitwayo Pimp A Butterfly, album ambayo inafanya vizuri Marekani. Kendrick ameona asikae kimya sana, ameamua atusogezee video mpya ya wimbo unaopatikana katika album hiyo.
Wimbo unaitwa Alright, na kama bado hujafanikiwa kukutana nayo nimekusogezea video hiyo hapa chini, bonyeza play kuitazama.
No comments:
Post a Comment