05 July, 2015

Dully kugeuza Dhahabu records kuwa Academy

Msanii Dully Sykes ambae ana zaidi ya miaka 15 kwenye game, na mmiliki wa studio za Dhahabu, . ameamua kutoa mpango kazi mpya wa studio yake hiyo, ambayo kwa sasa haisikiki sana.Dully amesema ana mpango wa kuigeuza studio hiyo na kuwa Academy sababu anapenda kuona kila mmoja akiwa mtu flani kwa hiyo anatarajia kutoa mafunzo ya production.
"dhabu rec natakaiwe academy, mi napenda kila mtu awe mtu flani."

Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...