05 July, 2015

Audio: 'Everybody On The Floor" The Game amerudi tena

the game 2Msanii maarufu kutoka kwenye lebo ya G-Unit The Game leo ameachia single yake mpya iitwayo Everybody On The Floor, ndani msanii kutoka Atlanta Migos amesikika. Kama bado  hajapata nafasi ya kuisikiliza ngoma hiyo nimekusogezea hapa chini.
Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...