29 July, 2015

JAROME BOATENG AKAMILISHA DILI NA JAY Z

COVERBeki wa Bayern na mshindi wa kombe la dunia Jarome Boateng amekua mchezaji wa kwanza kutoka Ulaya kusaini mkataba na kampuni ya Jay Z Roc Nation Sport.
Boateng mwenye miaka 26 ameungana na mastaa wengine kwenye michezo ambao wapo chini ya Roc Nation Sport kama Le Bron James na wengine.
Boateng alikamilisha dili hilo kwenye Sports Bar ya Jay Z huko Brooklyn na baadae wakaendelea kwenye private party na Jay Z.
2AE3864100000578-0-image-a-37_1438086482923

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...