29 July, 2015

C PWA – WASANII WA HIPHOP WANASHINDWA KUVUKA BODA KWASABABU YA UWOGA WA KUWEKEZA

.
Msaii wa hiphop C pwa  amefunguka  kuwa wasanii wengi wa hiphop wa bongo wanashindwa kufika level za kimaita kutokana na kutowekea katika mziki .C Pwa amesema “Kuna wasanii wachae sana wa  hiphip ambao wamewekeza katika mziki na matunda wanayaona , nikisema kuwekeza namaanisha Good video ,good music production n.k . But ki bongobongo wasanii wengi wanaogopa kuwekeza kitu kinachowafanya wasivuke boda”CPWAA

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...