Namshukuru sana Mheshimiwa Spika kwa kunipatia nafasi ya kulihutubia Bunge ili kutimiza wajibu wangu wa Kikatiba. #Julai9
— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) July 9, 2015
Nampongeza Mheshimiwa Spika kwa kuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huu na kuthibitisha kuwa "Wanawake wakiwezeshwa, wanaweza". #Julai9

Katika miaka takribani 10 iliyopita tumekutana na changamoto nyingi kama Taifa, lakini kwa umoja wetu tumeweza kukabiliana nazo. #Julai9
— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) July 9, 2015
Kuweza kuendelea kudumisha umoja na amani ya nchi yetu ni ushindi wetu sote, nawashukuru wananchi wote kushiriki kulitimiza hili. #Julai9
— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) July 9, 2015
Moja ya sehemu kubwa ambazo tumefanikiwa katika kujenga umoja wetu ni uundaji wa serikali ya Umoja wa Kitaifa Tanzania Visiwani. #Julai9
— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) July 9, 2015
Namaliza kipindi changu nikiwahakikishia kwamba nchi & mipaka yetu viko salama, Jeshi letu lina weledi na uimara katika nyanja zote. #Julai9
— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) July 9, 2015
Tumepanua sana uhuru wa vyombo vya habari, lipo ongezeko kubwa la magazeti, radio, televisheni, n.k. Hakuna media censorship nchini. #Julai9
— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) July 9, 2015
Tumepata mafanikio makubwa katika kupanua wigo wa mapato ya serikali. Bajeti ya mwaka huu ni mara 5 ya Bajeti yetu mwaka 2005 #Julai9
— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) July 9, 2015
Utegemezi wetu wa misaada toka nje kuanzia 2005 hadi sasa umepungua toka 42% mpaka 8% kutokana na kusimamia vyema ukusanyaji mapato. #Julai9
— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) July 9, 2015
Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,
No comments:
Post a Comment