Kimsingi kuna stori nyingi sana
kuhusu dili la Angel Di Maria kujiunga na PSG kutokea Manchester
United, lakini leo kuna jipya limeibuka.
Kwa mujibu wa Gazeti la L’Equipe dili h ilo limeshakamilika na nyota huyo wa zamani wa Real Madrid anakaribia kuthibitishwa kusajiliwa.
Ingawa ada ya uhamisho bado
haijathibitishwa, inafahamika kwamba United hawataweza kufikia mzigo
waliotumia kumnunua wa paundi milioni 59.7 majira ya kiangazi mwaka
jana.
No comments:
Post a Comment