29 July, 2015

Birdman azungumzia ugomvi wake na Lil Wayne kwa mara ya kwanza,tuhuma za mauaji pia.

lilbaby
Boss wa Cash Money Record na baba wa rapa Lil Wayne amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kesi ya madai ya dola milioni 51 na kuchonga njama za kumua Lil Wayne.
Birdman anasema  “Waye ni mwanangu milele na hakuna cha kupinga au kubadilisha swala hilo, nitafanya chochote anachotaka nifanye ila ayabaki kuwa mwanangu tu, yote anayotaka kufanya niko naye sawa , nampenda hadi kufa na nimempa baraka zangu kwa lolote analofanya ” .
Birdman anasema bado anazungumza vizuri na Lil Wayne na kwamba vyombo vya habari vimekuza jambo hili, akiongelea kuacha Wayne atoke Cash Money, Birdman anasema , hajamzuia Wayne akisema baba nataka kutoa niendelea atakubali kumwachia “.
Birdman amekanusha kumrushia chupa ya pombe Lil Wayne na kusema hawezi fanya hivyo kwa mwanae, kuhusu njama za kumpiga risasi, birdman anasema ni kitu cha kijinga sana alichowahi kusikia”.
Birdman amethibitisha kuwa Nicki Minaj na Drake hawawezi kuondoka Cash Money.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...