“It was a joke, but sort of ukweli pia kwa sababu mara nyingi kumekuwa na dhana watu wa nje wanachukulia kama vile viti maalum ni vya kupeana” alisema kupitia The Playlist ya Times Fm.
Hiki ndicho alipost:
Viti Maalum Kama naviona😂😂vya mootooo🔥Sura nzuri peleka reception,Tako Peleka(..)hapa ni makaratasi yenye Pass,Pass,Pass yataanza kuongea
— Elizabeth Michael (@OfficialLizyM) July 12, 2015
Lulu aliendelea kwa kusema:“…probably watu wameichukulia kama nimemsnitch mtu, mimi siko hivyo na sinaga hayo mambo kabisa. Ni kwamba nimefanya kama utani, lakini watu wasichukulie poa kwamba kila anaewekwa pale kwamba ana sura nzuri, kila anaewekwa pale ana umbo zuri.”
No comments:
Post a Comment