Msanii maarufu kutoka Nigeria Iyanya anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani. Baada ya kudondosha video ya Nakupenda alioshirikiana na Bongo Superstaa Diamond Platnumz leo hii amerudi na kichupa kipya.
Wimbo unaitwa Applaudise na hapa chini nimekusogezea video yake. Bonyeza play kuitazama.
No comments:
Post a Comment