Rapa Iggy Azalea amemchana msanii mwenzake Britney Spears baada ya collabo yao kufeli vibaya na hata video kutofanya vizuri. Akiongea kwenye inteview kuhusu colabo yao Iggy amesema “Wimbo wao wa “Pretty Girls” uliotangazwa vyema na
kufanyiwa video bora umeshindwa kufanya vizuri kutokana na anachosema Iggy kuwa ni uvivu wa Britney Spears“.
Iggy amesema “Ni ngumu kupandisha wimbo kwenye chati bila show za promo na show za tv, mimi nimeshirikishwa tu ila Britney ni mvivu kazi yake kukakaa tu”
Britney naye alijibu mashambulizi kwa kusema
No comments:
Post a Comment