28 June, 2015

Filamu Mpya ya Lulu Kuzinduliwa Septemba, Mwaka Huu

Filamu Mpya ya Lulu Kuzinduliwa Septemba, Mwaka Huu
Filamu mpya ya Staa wa Bongo Movie,Elizabeth Michael ‘Lulu’ inatarajiwa kuzinduliwa mwezi Septemba mwaka huu.Filamu hiyo iliyotumia gharama kubwa itazinduliwa mara tatu ikipendezeshwa na ‘Red Carpet’ kwenye sinema,kwa waandishi wa habari na
kwa mashabiki wa msanii huyo.

Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...