28 June, 2015
Wolper: Hakulaliki Nipo Tuu Natafakari Kitu Kinaitwa Kifo
Nimelala lakini hakulaliki nipo tuu natafakari kitu kinaitwa kifo, watu wa dini wanasema usilie bali uombe kwa Mungu apunguziwe adhabu ukilia unamuumiza sijui unamzidishia adhabu sasa mtu unaumia ufanyaje?
Jamani dah kifo bwana acheni tuu Mungu aitwe Mungu lakini
pia silaumu ila naamini Mungu kafanya hivi ili pia tusijusahau natumkumbuke kuwa yeye yupo sasa ndugu zangu mliogombana mlioachana kimapenzi embu mtafute mwenzio msemezane tuu ata kwa salamu mkikutana ili akifa uweze kwenda kumtilia mauwa au kumuaga.
Niwazo tuu nimetoa nanimeona ni share na nyinyi followers wangu nawapenda sana nawatakia usiku mwena mliopo kwenye starehe muendeshe magari taratibu mrudipo majumbani mwenu namsilewe sana …Bad mood wallah nalia pekee yangu Mungu nipe nguvu. ndugu zangu,marafk vipenzi,jamaa wote mliotutangulia Mungu awapunguzie adhabu one love
Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...
No comments:
Post a Comment