15 January, 2016

Rick Ross: I’m The Biggest L 50 Cent Ever Took

Ross-50William “Rick Ross” Roberts and Curtis “50 Cent” Jackson have been going back-and-forth at each other for years. At the time their conflict began, 50 was one of the most dominant forces in rap music, and Ross was at the start of his career. The ultimate result of that first round of feuding was Rozay rising in the ranks and 50 having to pay Ross’ ex-girlfriend $7 million for using her sex tape as a weapon in the beef.

Ross said:
At this point, my relationship with Curtis is really amusing, due to the fact that I’m the biggest L he ever took. I’m still enjoying life. My kids love me. I’m blessed. And when it comes to Curtis, it’s just unfortunate. I’m not happy that his boxing company went under. I’m not happy that his clothing company went under. I’m not happy his record label went under. I’m not happy that he went bankrupt. I’m not happy that he doesn’t have a relationship with his son. That’s not something to be happy about. But to see him parading around, still able to hold his head up every day, with all of that weighing on him — that makes me happy. I admire him for being able to hold his head up in a city that has revoked all of his passes. We’ve had a quite enjoyable past, and I still smile when I see him.

Video: Tiwa Savage Ft. Olamide - 'Standing Ovation'

post-feature-imageThe first lady of the Supreme Mavin Dynasty Tiwa Savage and the YBNL general Olamide team up on Standing Ovation, the second single from Tiwa Savage’s RED Album.

Yemi Alade amethibitisha kuwa anatoka kimapenzi na Bien Baraza wa Sauti Sol

post-feature-imageYemi Alade amethibitisha kuwa anatoka kimapenzi na mmoja wa wasanii ambao wanaunda Kundi la Sauti Sol, Bien Baraza.

Wasanii hao walikutana nchini Kenya kwenye msimu huu wa Coke Studio, ambapo jumla ya wasanii 28 kutoka Uganda, Kenya, Tanzania, Msumbiji na Nigeria walikutana kwa ajili ya kufanya kazi pamoja za Coke.

Hapo ndipo uhusiano wa Yemi na Bien ulipoanza, lakini Yemi ameweka wazi baada ya msanii huyo kutokana nchini Kenya kumuandikia wimbo wake wa ‘No Gode’ kwa Kiswahili, ambapo Yemi aliuandika kwa Kiingereza.

“Nakupenda sana mpenzi wangu Bien, umetoa mchango mkubwa katika kazi yangu mpya kwa kuifanya iwe kwa Kiswahili na ulitumia muda wako kufanya hivyo, nitaendelea kukupenda daima,” aliandika Yemi kwenye mtandao wa  Instagram.

Download Music: Illumination Ft Barnaba – 'Sugar'

post-feature-imageRapper na producer wa kike, Illumination ameachia ngoma mpya aliyomshirikisha Barnaba. Isikilize au kuidownload hapo chini.

Baada ya Arsenal, Manchester United inakaribia kukamilisha usajili wa mchezaji huyu.

Screen Shot 2016-01-14 at 9.55.45 PMmashabiki wa Arsenal wamefurahishwa na usajili wa mchezaji mpya na kuwaacha watani wao wa jadi wakisubiri taarifa za usajili kwenye club yao.
Taarifa iliyopo sasa hivi ni kwamba Manchester United wanakaribia kumsajili mchezaji kinda wa miaka 16 Luca Ercalani kutoka club ya Forli inayocheza Serie D.
Screen Shot 2016-01-14 at 9.55.18 PMMchezaji huyu alionwa na scout David Williams na kupelekwa Manchester United kwa ajili ya trial na inasemekana ameshafuzu na hivi sasa zinafanyika hatua ya mwisho kukamilisha usajili wake.
Screen Shot 2016-01-14 at 9.55.10 PMMtu ambae aliyem-scout mchezaji huyu aliwahi kuwaleta wachezaji kama Federico Machedo na Giuseppe Rossi. Wachezaji wote hawa waliweza kuonyesha kuwa ni tumaini kwa Manchester united wakiwa vijana lakini baadae walishindwa ku-shine.
Haitegemewi kufanyika tangazo rasmi la usajili wa mchezaji huyu lakini kwenye page zake za instagram anaonekana kufurahia kwa jinsi mambo yanavyoenda. Vyanzo vya karibu na habari hii vinasema kila kitu kitakamilika ndani ya muda mfupi ujao.
Screen Shot 2016-01-14 at 9.55.03 PM

Mume wa Celine Dion afariki dunia

Rene
Rene Angelil, mume wa mwanamuziki mashuhuri duniani Celine Dion, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73, mwanamuziki huyo ametangaza.
Bw Angelil, aliyemuoa Dion mwaka 1994 na wakajaliwa watoto watatu, amekuwa pia akihudumu kama meneja wake.
Alifariki akiwa nyumbani kwao Las Vegas baada ya kuugua saratani.
Dion alichukua likizo kutoka kwenye muziki kwa vipindi viwili ili kumtunza Angelil baada yake kupatikana na saratani ya koo mwaka 2000.
Bw Angelil alizaliwa mjini Montreal mwaka 1942.
Baada ya kuwa meneja wa makundi kadha nchini Canada, aliombwa na wazazi wa Dion awe meneja wake mwanamuziki huyo alipokuwa na umri wa miaka 12 pekee.
Mwaka jana, Dion aliambia gazeti la USA Today kwamba alikuwa akijiandaa kwa kifo cha mumewe.
“Ikifika, itafika tu,” aliambia gazeti hilo Agosti 2015.
“Lakini kibarua change kikubwa kitakuwa kumwambia mume wangu kwamba tuko sawa. Nitawatunza na kuwalea watoto wetu. Utatutazama kutoka ulimwengu mwingine.”
Gazeti la Montreal Gazette linasema Bw Angelil aliweka rehani nyumba yake ili kupata pesa za kufadhili albamu ya kwanza ya mwanamuziki huyo.Dion
Dion amerekodi albamu 25 studioni na ndiye mwanamuziki wa tano kwa kulipwa pesa nyingi zaidi, utajiri wake ukikadiriwa kuwa $630m (£437m).
Mwaka 1999, wimbo wake My Heart Will Go On, uliotumiwa katika filamu ya Titanic, ulishinda tuzo mbili za Grammy.
Amekuwa akitumbuiza mara kwa mara katika ukumbi wa The Colosseum, Caesars Palace mjini Las Vegas tangu 2003.
Alianza tena kutumbuiza mashabiki wake mwaka jana baada ya kupumzika mwaka mmoja kumtunza Bw Angelil, ambaye aliacha kuwa meneja wake 2014.

Kanisa la Kianglikana duniani limesisitiza kwamba ndoa ni kati ya mwanamume na mwanamke

Justin Welby
Kanisa la Kianglikana duniani limesisitiza kwamba ndoa ni kati ya mwanamume na mwanamke na likasimamisha ushirika wa jimbo la Marekani lililotambua ndoa za wapenzi wa jinsia moja.
Jimbo hilo la Marekani, ambalo kwa Kiingereza hujiita Episcopal Church, sasa halitaruhusiwa kushiriki kikamilifu katika masuala ya kanisa hilo.
Viongozi wa kanisa la Kianglikana duniani, waliokutana Canterbury, wamesema kanisa hilo lilikiuka Imani inayofuata na waumini wengi wa kanisa la Kianglikana kuhusu ndoa.
Marufuku hiyo ya muda ambayo imepewa jimbo hilo a Marekani inalenga kuzuia kugawanyika kabisa kwa kanisa hilo kutokana na tofauti kuhusu ndoa za wapenzi wa jinsia moja.
Ndoa hizo zimekuwa zikipingwa sana na majimbo ya kanisa hilo barani Afrika.Robinson
Uamuzi wa kusimamisha uanachama wa jimbo hilo la Marekani ulifanywa katika mkutano ambao umeeleza kuwa "mkali sana".
Askofu wa sasa wa jimbo hilo la Marekani Michael Curry amesema uamuzi huo "utasababisha uchungu mwingi". Mzozo kuhusu ndoa za jinsia moja ulianza kutokota baada ya kutawazwa kwa Kasisi Gene Robinson, aliyekuwa ametangaza hadharani kuwa mpenzi wa jinsia moja, kuwa askofu wa dayosisi ya New Hampshire ya jimbo hilo la Marekani mwaka 2003. Hatua hiyo ilizua mgawanyiko mkubwa miongoni mwa viongozi na waumini wa kanisa hilo duniani.

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...