01 July, 2016

New Video: Rihanna – Sledgehammer (From Star Trek Beyond)

Wimbo huu pia umetumika kama soundtrack ya Filamu yenye jina la Star Trek Beyond. Rihana tena katuletea video ya ngoma hiyo .Sledgehammer (From Star Trek Beyond) enjoy this na kumbuka kuwashirikisha wana kitaa.

Download Music: Young Dee – Hands Up

Ngoma hii kutoka kwa Young Dee a.k.a Paka Rapper imekuja baada hadithi za madawa na baada ya yeye mwenyewe kukiri kutumia Vyombo hivyo na kukiri kuachana na matumizi hayo. Ngoma inakwenda kwa jina la Hands Up.

24 June, 2016

Music: Dogo Janja Ft Weasel & Radio – My Life Remix

Kutoka Tip-top connection ni Dogo Janja kakutana na wakali kutoka Good life hapa namtaja Radio na Weasel kutoka pande za Uganda wanatuletea Rimix ya ngoma yake Janjaro My Life. Enjoy ngoma hiyo na kumbuka kushirikisha kitaa.

Music: Papa Wemba Ft Diamond Platnumz – Chacun Pour Soi

Kwa sasa hayupo nasi maana amekwisha tangulia mbele za haki ila kazi zake zitazidi kusikika masikioni mwetu. Anaitwa Papa wemba, moja kati ya malegendary wa muziki walio wahi kuishi na hii ndiyo ngoma yake aliyo fanya week chache kabla ya Mauti kumpata ‘Chacun Pour Soi’ amemshirikisha Diamond Plutnum.

Video: Godzilla – Nataka Mkwanja

‘Nataka Mkwanja.’ ni ngoma inayo bamba kitaa kwa sasa, ukitazama na jinsi mkwanja ulivyokuwa mgumu kuupata kwa sasa. Ngoma ambayo imefanyiwa kazi kwa MJ Records chini ya Producer Marco Chali. Tizama video hiyo hapo chini.

Music: Pam D Ft. Nay wa Mitego – Nipe Nono

Pam D Ft. Nay wa Mitego - Nipe Nono  Tetesi zilianza kuzagaa kitaa na mitandaoni kwamba wawili hawa yaani Nay na Pam D wanatoka kimapenzi, ila Baadae Pam D alisikika akisema Hakuna kinacho endelea kati yao bali kuna ngoma wanafanya pamoja. Na hii ndio ngoma yenyewe "Nipe Nono" ngoma imetengenezwa kwa Mr T. Touch.

Video:Beyonce-”Sorry”

Kutoka kwenye album  ya Beyonce,’LEMONADE’, hii ni ngoma nyingine inayoitwa ”Sorry” ambayo mwana mama Beyonce kaiachilia. ’LEMONADE ni Album inayo fanya vizuri katika soko na chart mbali mbali ulimwenguni. Mpaka sasa Album hiyo imefanikiwa kuuzwa kwa zaidi ya nakala Milion Moja.

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...