Man
Fongo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya EATV alisema kuwa muziki huo
umebadilisha maisha yake ndani ya muda mfupi na sasa anaona maisha kwake
ni kama mepesi akilinganisha na kipindi cha nyuma.
"Kupitia Singeli saizi nimepanga nyumba nzima Tabata, nina miliki gari yangu Toyota Altezza , unajua haya kwangu ni mafanikio yaliyokuja kwa muda mfupi sana kutoka kuishi gheto chumba kimoja mpaka sasa naishi nyumba nzima, familia saizi inaniangalia mimi hivyo naweza kusema Singeli ina neema sana kwangu na mafanikio kwangu yamekuja haraka mpaka nashangaa" alisema Man FongoCHANZO:EATV.TV
No comments:
Post a Comment