Taarifa hizi zilianza kuzagaaa mitandaoni kwamba nyota huyu kajitoa uhai wake. Taarifa hizi zilipata Nguvu pale ambapo Jaden aliacha kupost chochote katika account za social media anazo miliki.
Na good news ni kwamba jamaa kaonekana mtaani kiroho safi akiwa na Bibie Sara kama picha zifuatazo zinavyo onyesha.
No comments:
Post a Comment