Ni siku chache tuu baada ya rapper Lily wyne kutangaza kupita account yake ya Twitter kwamba anastaafu Muziki.Wayne aliteka vichwa vya habari kwa maneno haya āI AM NOW DEFENSELESS AND mentally DEFEATED & I leave gracefully and thankful I luh my fanz but Iām dun,ā Kauli yake hiyo ilitafsiriwa na wadau mbali mbali kwamba Mkali huyo kaacha Muziki rasmi.
E! News imeripoti kuwa maneno hayo ya Lil Wayne yalitokana na msongo wa mawazo anaopitia kwa sasa rapa huyu na kwamba bado anapenda muziki na hana mpango wa kuacha kuimba, ameshaanza kurekodi kazi mpya.
No comments:
Post a Comment