Rapper na nguli wa Hip-hop Marekan Rick Ross anatengeneza official Port of Miami behind-the-scenes trailer itakayo onekana kwenye mtandao maarufu wa Burudani TIDAL(Tidal.com/RICKROSS).
Mtandao huo utaonyesha moja kwa moja(live-stream) perfomance maalumu kutoka kwa boss huyo wa May-bach Music Group Rick Ross huko Port of Miami in Miami ifikapo Junatatu , August 29th.
Unaweza kuingalia trailer hiyo hapa >>> BOFYA HAPA<<<
No comments:
Post a Comment