Alikuwa akizungumza baada ya kukubali tiketi ya kuwania urais kupitia chama cha Democrat.
Mashabiki wa Rapper Lil-wayne sasa wamezua uvumi katika mtandao wa Twitter wakipendekeza kuwa huenda ameshinikizwa na wimbo huo unaosema kuwa iwapo hakuna paa kikomo ni mbingu.
Hakujakuwa na tamko lolote kutoka kwa Hillary Clinton ama timu yake lakini Lil Wayne amekuwa akihusisishwa.
Amewaambia maripota kwamba yeye hana tatizo lakini akakiri kwamba hajaiona hotuba hiyo.
Baadaye alichapisha ujumbe wa kumuunga mkono mgombea huyo wa urais.
loading...
No comments:
Post a Comment