Video: Eddy Kenzo - Dagala

Kutoka Pande za Uganda, ni mwana muziki Eddy Kenzo na Video yake hii mpya inayo kwenda kwa jina la  Dagala. Eddy Kenzo amekua akizidi kufanya poa katika game la Muziki hapa Africa mashariki na Africa nzima kwa ujumla wake. Nikukaribishe Kukitazama Kichupa hicho "Dagala'.


Kumbuka Kushare na wana Kitaa/ Bonyeza Play...

Comments

Popular posts from this blog

Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo

Furaha ya kweli inaletwa na wewe mwenyewe.