New Video: Billnass ‘Chafu Pozi’

Billnass ni moja kati ya maraper wanaokuja kwa kasi katiga game hii ya Hip-hop/Bongo flava na hii imedhihirika baada ya kutoa Hit songs mbili ambazo mpaka sasa zimemuweka vyema katika ramani ya Muziki hapa Bongo. Chafu pozi ni Video yake ya pili baada ya Ligi ndogo kufanya poa pia.

Tizama video hii mpya kabisa Chafu Pozi ilofanyika pande za Africa Kusini. Kumbuka kushare na wana kitaa pia/

Comments

Popular posts from this blog

Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo

Kwamujibu wa Forbes, Hawa ndio waigizaji 10 wanaolipwa mkwanja mrefu zaidi duniani