New Video Mayunga ft Akon ‘Please don’t go away’

Mtanzania mwenzetu Mayunga aliye Tuwakilisha vyema katika shindano la Trace Music star na kuibuka mshindi katika shindano hilo, Leo may 21 katuletea Video ya nyimbo yake aliyo achilia siku mbili tatu zilizo pita inayo kwenda kwa jina la  ‘Please Don’t go away’. Ambapo kamshirikisha mkali Kutoka Huko Senegal (Akon).Enjoy the Video, share na washkaji zako kitaa.

Comments

Popular posts from this blog

Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo

Furaha ya kweli inaletwa na wewe mwenyewe.