Video: Sugu – Freedom

Joseph Mbilinyi (Mr. II Sugu) ambaye ni Mbunge wa Mbeya mjini ni msanii wa kitambo wa hiphop baada ya kimya kirefu kwenye bongo fleva, ameachia video mpya ya wimbo unaitwa ‘Freedom‘ ikiwa ni kazi ya MJ Records video imeongozwa na Hanscana. I mekua kitambo  sana tangu Mr. II Sugu kuacha kutoa kazi na kuingia katika siasa na kiukweli mashabiki wake tuliukosa uhondo.Comments

Popular posts from this blog

Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo

Furaha ya kweli inaletwa na wewe mwenyewe.