Baada ya kuonekana picha mitandaoni kwa muda mrefu sasa ikionyesha Barnaba Class akiwa amepoz na mtoto wa kike hatimae leo Barnaba katuletea kitu, ni Audio yake mpya inayokwenda kwa jina la "Wanifaa" ni ngoma nzuri kwa watu wazuri wanaopenda muziki mzuri.Bonyeza >>>HAPA <<< kuupata wimbo huo.
No comments:
Post a Comment