New Video: Mad Ice ‘Delilah’


Ni miongoni mwa wasanii waliofanya na wanazidi kufanya poa sana katika game hil. Licha ya Mad-Ice kukaa nje ya Bongo lakini bado ana wafuasi/mashabiki wengi hapa bongo jambo ambalo bado muziki wake unakubalika. Na safari hii katuletea video yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Delilah’ Enjoy na washirikishe washkaji kitaa.Comments

Popular posts from this blog

Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo

Furaha ya kweli inaletwa na wewe mwenyewe.