Tottenham yaichapa Aston Villa mabao 2-0 nakuisogelea Leiceister city-Epl


Ligi kuu ya soka England imeendelea tena jana kwa Mchezo mmoja kati ya Tottenham iliyo iibamiza Aston Villa mabao 2-0.
Mabao ya washindi Tottenhama yalifungwa na Harry Kane Dk ya 45 kipindi cha kwanza.
Na baadaye dakika ya 48 Kipindi cha pili kwa mara nyingine tena Harry kane aliandika bao la pili kwa Tottenham.
Kwa matokeo hayo sasa Tottenham imejikusanyia pionti 58 nyuma ya Leiceistar city ambao mpaka sasa ndio Vinara wa ligi hiyo kwa jumla ya alama 60.

Comments

Popular posts from this blog

Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo

Furaha ya kweli inaletwa na wewe mwenyewe.