15 March, 2016

Huu ndio msimamo wa ligi ya EPL baada ya mechi za jana

Leicester City went five points clear at the top of the Premier League table after beating Newcastle 1-0   Ligi kuu ya Uingereza imezidi kushoka kasi huku timu ya Leicester City ikizidi kujikita kileleni mwa ligi hiyo baada ya kuifunga New Castle jana bao 1-0, hivyo kufikisha jumla ya pointi 63 kileleni wakifuatiwa na Totenhama ambayo ina point 58.

 Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL kufikia 15 Machi, 2016.
Nambari Klabu Mechi  Mabao  Alama
1 Leicester 30  22  63
2 Tottenham 30  29  58
3 Arsenal 29  16  52
4 Man City 29  21  51
5 West Ham 29  12  49
6 Man Utd 29  10  47
7 Southampton 30  8  44
8 Liverpool 28  6  44
9 Stoke 30 -4  43
10 Chelsea 29  4  40
11 West Brom 29 -6  39
12 Everton 28 12  38
13 Bournemouth 30 -9  38
14 Watford 29 -1  37
15 Crystal Palace 29 -7  33
16 Swansea 30 -10 33
17 Sunderland 29 -19 25
18 Norwich 30 -23 25
19 Newcastle 29 -26 24
20 Aston Villa 30 -35 16

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...