15 March, 2016

Arsenal vs Barcelona –UEFA Champion Ligi


Michuano ya klabu bingwa barani ulaya inatarajia kuendelea tena leo jumanne kwa Michezo Miwili.
Atletico Madrid yenye pointi 13 watakuwa wenyeji wa Psv Endovein yenye point 10 katika msimamo, na Manchester city yenye alama 12 wao watakuwa nyumbani Etihad wakiwaalika Dianamo Kiev ya Ukrain yanye alama 11 mpaka sasa.
Michuano hiyo itaendelea tena kesho Jumatano kwa mechi mbili, Barcelona watakuwa wenyeji wa Arsenal, na Bayern Mun wataikabili Juventus.
Fainali za Michuano hiyo zitahitimishwa tarehe 28 mwezi Mei 2016 uwanja wa San Siro Milan nchini Italy.Arsenal, on the other hand, crashed out of the FA Cup quarter-finals with a 2-1 defeat by Watford

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...