09 February, 2016

Rihanna kutumbuiza Uganda mwezi June 2016


Fresh from dropping her new Album , Rihanna atatumbuiza kwenye ardhi ya Afrika Mashariki mwezi wa sita mwaka huu.
Muimbaji huyo wa ‘Work’ anatarajiwa kutumbuiza nchini Uganda.  Ziara yake imeandaliwa na promota maarufu wa nchini humo, Suudiman Lukwago.
Taarifa hizo zilisambazwa na mkurugenzi wa kampuni ya ulinzi aitwaye Dixon Okello,
“Just signed a deal with top international promoter Suudiman Lukwago to handle event security during the Moses Golola Vs Titus Tugume non-title super middleweight kick boxing fight on the 14th Feb 2016 at the MTN arena Lugogo and international Diva Rihanna concert in June. I have handled most international kickboxing fights and concerts in the past and hope all will be well,” Aliandika Dixon Okello
Hii itakuwa mara ya pili kwa Mrembo huyo kuja Afrika baada ya mwaka 2013 kutumbuiza nchini Afrika Kusini.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...