Ne- Yo na mchumba wake Crystal Renay waoana

Muimbaji Ne-Yo na mchumba wake Crystal Renay  wamefunga ndoa Terranea Resort katika Rancho Palos Verdes, Calif. Jumamosi hii ya (Februari 20/2016).  Ne-Yo  ” Mimi nina furaha kubwa familia yangu na marafiki wameweza kushiriki na sisi kwa pamoja” hivyo tuliona hatuwezi kusubiri maana tuna hamu ya kuanza maisha yetu kwa pamoja.

Comments

Popular posts from this blog

Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo

Furaha ya kweli inaletwa na wewe mwenyewe.